carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hapo sasa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kwani huko kwenu bara mnakula chakula gani hasa mzee wa liver?Wanaume wa dsr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiCarba inakuhusu hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiumwa na nyoka hata ukiona unyasi ni nduki
Sijawahi ona mzungu wa ajabu kama asumani mawenge[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dooooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dating a doctor or nurse is not romantic at all. He will look into your eyes Instead of seeing love, he will see typhoid/malaria[emoji19][emoji19][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitu itanifaa mimi [emoji23][emoji23]
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji106]Sahihi kabisa, hakuna mwanadam mkamilifu lakini mwenyezi mungu anatupatia rizki kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Houston naona ndani ya miaka hii miwili wanapigwa na vimbunga hatari sana
Nilikuona kitaa unakimbizaMkuu baada ya kutoa Dozi mitaa fulani ya jukwaa. Naona kama kawaida hapa Kijijini kukita kambi
Shemeji, mtu mwenyewe mwembamba tayari hii tena ya nini? Hii inawafaa vibonge iwasaidie kupunguza lavu hendoz na mapaja mrundikano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitu itanifaa mimi [emoji23][emoji23]
KabisaHabarini za asubuh wapendwa
Naimani mmeamka salama
Tumshukuru Mungu
Pamoja mkuuNjoo kule hoja mchanganyiko kuna interview ya mrembo
DJ sepetu
Mzee wa liverAmeongea mtazamo na ukweli wake in real life experience [emoji41] [emoji41] [emoji41] usimuhukumu
Nyuki wa mashine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii na mchina je
Nitafurahi kuona mnachukua safari hii[emoji41] [emoji41] [emoji41]Safari hii wanachezea kichapo wote