mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa kuchungulia weweSwalama kabisa mzee wa kutishia kuvunja zizi la mzee wa tukuyu
Kwa kuchungulia weweSwalama kabisa mzee wa kutishia kuvunja zizi la mzee wa tukuyu
Poa mkuu
Kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uniq mzee wa pwani mwenye PhD yake ya maswala ya Tezi dume
Cc andjul
CantstopwontStop
Hila season hii watasema sanaMkitajiwa jina "Arsene Wenger" mnaweweseka!! Poleni. sisi Liverpool tumeshazoea, maana tumepotea kitambo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
LikesLikes
Safari hii wanachezea kichapo woteKazi yenu ni kujisifu kupiga wakubwa tu halafu mnatulizwa na kina Watford[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Life is not fair
HahahahahaWatu mnapenda picha za utata!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zinayoyoma kwa kweliMwezi nao uko ukingoni
Sijawahi ona mzungu wa ajabu kama asumani mawenge[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yakisemwa na hawa malegend wa arsenal yanakuwa na nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha panya road watu wakiwasikia hata kwenye vits wanaingia ishirini
Ameongea mtazamo na ukweli wake in real life experience [emoji41] [emoji41] [emoji41] usimuhukumuNa pia ujue wanawake wenyewe wapo hapa, wanakuona unavyowasagia![emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zizi lake halivunjwi, zizi hilo limebomoka, majirani wanagawana vilivyomo[emoji3] [emoji3]Swalama kabisa mzee wa kutishia kuvunja zizi la mzee wa tukuyu
Sijawahi ona mzungu wa ajabu kama asumani mawenge[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naamini pesa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri bilionea aamkeZizi lake halivunjwi, zizi hilo limebomoka, majirani wanagawana vilivyomo[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiumwa na nyoka hata ukiona unyasi ni ndukiNiliyemuamini alinikimbia nikiwa kwenye wakati mgumu sana tena na mtoto mdogo
Kuanzia hapo[emoji83] [emoji83] [emoji83]