Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku ya leo inatimia miaka kumi tangu Hashtag ya kwanza kutumiwa na mtaalamu wa mitandao ya kijamii, Chris Messina katika mtandao wa Twitter. Hashtag ya kwanza ilitumwa mwaka 2007 Agosti 23.

Hashtag hiyo ilikuwa kwa ajili ya kukusanya majadiliano na maongezi yote ya kampuni ya Barcamp [HASHTAG]#Barcamp[/HASHTAG].
 
Hashtag imeundwa na watumiaji wa mtandao ili kujadili matukio maalumu na masula husika kwa wakati muafaka.

Na nji hii husaidia kwa makusudi yaliyopangwa ili watumiaji wengine wa mtandao waweze kutafuta kwa urahisi mada na kushiriki katika mazungumzo bila ya kujali wapi duniani.
 
Tafiti zinaonyesha kuwa kuna uwezekano wa zile msg ulizozifuta kwenye WhatsApp kuweza kusomwa tena.


Kutokana na utafiti ulifanywa na Jonathan Zdziarsk umeonyesha kuwa pale unafuta msg za kwenye WhatsApp ukitegemea kutoziona tena, sio hivyo kama ulivyotegemea kwani msg hizo ni kwamba huondoka kwenye mbele ya macho yako lakini msg hizo zinabaki kwenye memori ya simu na zimawezekana kupatikana na kusomwa tena kwa kutumia app fulani.
 
Siku ya leo inatimia miaka kumi tangu Hashtag ya kwanza kutumiwa na mtaalamu wa mitandao ya kijamii, Chris Messina katika mtandao wa Twitter. Hashtag ya kwanza ilitumwa mwaka 2007 Agosti 23.

Hashtag hiyo ilikuwa kwa ajili ya kukusanya majadiliano na maongezi yote ya kampuni ya Barcamp [HASHTAG]#Barcamp[/HASHTAG].
 
Hashtag imeundwa na watumiaji wa mtandao ili kujadili matukio maalumu na masula husika kwa wakati muafaka.

Na nji hii husaidia kwa makusudi yaliyopangwa ili watumiaji wengine wa mtandao waweze kutafuta kwa urahisi mada na kushiriki katika mazungumzo bila ya kujali wapi duniani.
 
Katika wakati wa nyuma Hashtag ilikuwa ikitumika kwenye Internet Relay Chat (IRC) katika mfumo wa zamani wa kuchati uliokuwa ukitumiwa na makampuni mbalimbali.

Kwa mujibu wa mwanzilishi wa Twitter Evan illiams anasema yeye na Chris Messina hawakuwahi kufikiria kwamba hashtag itakuja kuwa maarufu kama ilivyo sasa kwa sababu ilikuwa ikitumika na wataalamu wa mfumo wa IRC.
 
Aidha, Jukwaa la vyombo vya habari la kijamii linaashiria kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 10 ya hashtag kwa [HASHTAG]#Hashtag10[/HASHTAG].

Kwa sasa Hashtag inatumika na mitandao kadhaa zaidi ya Twitter na watu wengi wamekuwa wakiifahamu.
 
Ikiwa simu yako ya Android haina kasi, wala nafasi ya ziada ya kuongeza programu nyingine ni wakati sasa wa kufuta baadhi programu ili kuondoa matatizo hayo.

Baadhi ya programu za simu za mkononi hutumia kiwango kikubwa cha nafasi na kiwango kikubwa cha matumizi ya Betri na hivyo kuathiri utendaji wa simu yako.
 
Back
Top Bottom