Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nakupenda sana ila kisirisiri sitaki COLE ajue!Napenda kutuma salamu kwa Rutashubanyuma anaepatikana mjini Manchester.
Ujumbe aendelee kupenda likes
CantstopwontStop
utafanya vyema sanaHeheheheh naleta jmosi hii ili aniambiee
Furaha ilioje kuonekana kwako hapa kijijiniUzuri ulioje kuwa hapa Kitongojini
Ohoo Sawa baba fifian (in bibi wa kichaga voice) ntamletea na mapera lakiniutafanya vyema sana
ijumaa natoka liwale kurudi dar hop utatukuta