Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
SijakupataHabarini wana jf
Sio siri kila mtu anapenda kupata like humu jomoni[emoji23] [emoji23]
Ndio maana Uzi wetu Wa likes unatambaa kweli[emoji23] [emoji23]
Je wewe unavutiwa zaidi Na ka like ka kike au ka kike[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atapewa tuu na ndizi za kuchoma[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kumbe kweli alipigwa saba
[emoji15] [emoji15] swali Dogo kama hili linaweza kabsa kusababisha musuguano wa kimatabakaKapi kanakuvutia zaidi
DJ sepetu
HahahahaMnashinda na nini kwa mfano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napenda kutuma salamu kwa mpenzi wangu carbamazepine aliepo dar es Salaam ilala
CantstopwontStop
Kukubaliana kutokukubaliana[emoji23][emoji15] [emoji15] swali Dogo kama hili linaweza kabsa kusababisha musuguano wa kimatabaka
Aisee hayo malezi yako hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atapewa tuu na ndizi za kuchoma[emoji13] [emoji13] [emoji13]
HahahahahaNapenda kutuma salamu kwa ISIS Goddes anaepatikana pale Masaki
Ya ostabey sio Masaki ya chanika
CantstopwontStop
mi nilikuwa najua watu wanakosea kuandika hili neno 'Jamani' kumbe ndo swaga siku hizi linaandikwa 'Jomoni'. Cha kushangaza zaidi ni pale napoona au kusikia hadi midume inatumia hizo swagzjomoni