Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Lakini sio neno la kiswahili in fact halipo kwenye kamusiWapi bakita wamekataza[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Mimi kwenye malikes
Yap chairmanGOOD MAORNING TO YOU ALL....
UtaniLakini sio neno la kiswahili in fact halipo kwenye kamusi
Uwii[emoji23] [emoji23]
Hii teknolojia hii kweli imetuweza sana. Familia zingine mpaka dinner table kila mtu yuko kivyake. Wengine wanafakamia mavyakula wawahi mtandaoni. Ni tatizo !!!
YNapenda kutuma salamu kwa Mzee wa liver, akiwa huko dodoma,
Ujumbe YNWA
CantstopwontStop
Mfano shoga nani humu?
Jambo
Ya siku moja ila atayapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aisee hayo malezi yako hayo
teh teh teh
Cha kinyama kivipi? Alikuwa mpiganaji wa mstuni. Ulitegemea afe kwa homa? Guess what? Kwa wapiganaji hawa hiki ndicho kifo cha heshima - kufia katika mapigano, kufa huku ukipigania unachokiamini. Kufa ukiwa umefungwa maventileta na mamirija kibao kitandani hospitalini kwao hawa ni kujidhalilisha. Ndiyo maana alimwambia askari aliyekuwa akitaka kumtandika risasi " Fyatua bastola yako. Utamuua Che lakini fikra zake zitadumu milele". Ndiyo maana wanaitwa wanamapinduzi and I am not sure if they still make them anymore.Ernesto "Che" Guevara kifo chake cha kinyama sanaView attachment 578079 View attachment 578080
Vipi kuhusu mke? Kuna mke wangu au napi ni mke wetu?Hehehehehehe
Duh! We darasa la ngapi mkuu samahani lakini.Mfano shoga nani humu?
Ujinga huo.mi nilikuwa najua watu wanakosea kuandika hili neno 'Jamani' kumbe ndo swaga siku hizi linaandikwa 'Jomoni'. Cha kushangaza zaidi ni pale napoona au kusikia hadi midume inatumia hizo swagz