Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cha kinyama kivipi? Alikuwa mpiganaji wa mstuni. Ulitegemea afe kwa homa? Guess what? Kwa wapiganaji hawa hiki ndicho kifo cha heshima - kufia katika mapigano, kufa huku ukipigania unachokiamini. Kufa ukiwa umefungwa maventileta na mamirija kibao kitandani hospitalini kwao hawa ni kujidhalilisha. Ndiyo maana alimwambia askari aliyekuwa akitaka kumtandika risasi " Fyatua bastola yako. Utamuua Che lakini fikra zake zitadumu milele". Ndiyo maana wanaitwa wanamapinduzi and I am not sure if they still make them anymore.
mhhhh
sema na yeye ameua watu wengi sana
 
5b7fa177225c9d7b9d7f31b17d6fb14c.jpg
 
Back
Top Bottom