mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwenye picha hapo namuona Spub Webb 5:2 na alishinda Mara nyingi slum dunk competition
Kwenye picha hapo namuona Spub Webb 5:2 na alishinda Mara nyingi slum dunk competition
Aiseeehh basi kuna faraja iko KIA inakuja[emoji6][emoji6]Carba
Kama umeelewa hii statement basi ule mzigo ulionunua una contents za sampuli hii[emoji41] [emoji41]
Baba viv,viv hajambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Nakusalimia bidadaHuyu sio wa dar hahahha ni wa tukuyu
Hivi bado huna aman na mimi tu[emoji41][emoji41]Nipo jamani
Karibu,tunakumiss piaNimepita kuwasalimia,tutaonana badae mida ya chai nafikiri. Ntakuja kuwachungulia.
Ushachelewa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tumfariji mzee huyuNakuona ujue
Cc:andjul[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo shemeji yangu mpenzi unipendae kwa dhati.
HahahahahaAiseeehh basi kuna faraja iko KIA inakuja[emoji6][emoji6]
Salamu gani mnaitana wapenzi??muonee huruma huyu mzee jamanLoh,jamani hata salamu?
Hiyo hata wanafunzi wa chuo wengine hawajuiMwanafunzi anamaliza form four barua ya kuomba Kazi hajui kuandika
Siji, yaani mmenijadili usiku kucha!! Hayo malori sijui mitembo ndio nini? Nyie watu mnaonwa mjue!Namuitaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viv yuko poaBaba viv,viv hajambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Salamu za usiku wa saa6??we mwanamke weweAlikuwa anataka kunisalimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeehHahaha msalimie kabula,jina la dada yangu mpenzi. Hebu muulize vzr km ana ndg anaitwa nsamaka. Walah usikute ww ni shemeji yangu hahahah.
Asavali...kakilaze kichwa chakoAcha nisepe tu nikalale msela kipenz