Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bob hujaelewa nn? Kwani ww hujawahi kuchunguliwa? Hahahah
Vipi wewe umewahi?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bob hujaelewa nn? Kwani ww hujawahi kuchunguliwa? Hahahah
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzee wangu unaniponza,kuna kitu nitakuwa nimepoteza na hawa vijana wanavyo.Kuna haja ya kuufanyia Reform umri wangu,shuani zao... Hakuna mazizi mengine ila kwangu tu!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji137][emoji137]
Utawajua tu wadau
Lengo langu ni nsamakaPole sana maana huyu kijana wa tmk sijui analengo gani na zizi lako
Mimi simo kabisaBob asisahaulike plz, nae anakuja kwa kasi kwenye hayo mambo
Halafu wewe MtotoNamuona mzee wa liver kwa mbaali akiwa tumbo wazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna-exclude vitu ambavyo ni obvious mkuu. Ndivyo logic inavyofanya kazi.
Houston pole sana
Ilikuwa ni shule moja huko Ukerewe. Mi niliuliza why Ukerewe? Sehemu yenye wasomi maprofesa na PhD holders wengi pengine kuliko sehemu nyingine hapa Tanzania. Mzee wa Liva na Yego nadhani walikausha [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilisikia sikumbuki ni mkoa gani kuna wanafunzi wa form2 hawajui kusoma wala kuandika nikabaki nastaajabu tu
Halafu yeye sasa hachagui. Awe mke wa mtu, tineja au singo maza wote majiganyanza. Ni hatari sana !!!Bob asisahaulike plz, nae anakuja kwa kasi kwenye hayo mambo