Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni hatari sana shemeji. Yaani mtu inabidi uulize mara mbili mbili. Kesho yake akikugeuka umekwisha. Hata hawa wanamichezo (Kobe etc) ndicho kinachowatokea. Binti anakubali halafu kesho anadai alikuwa kalewa na hakumbuki kama alitoa consent. Basi hapo hakuna ujanja isipokuwa kumalizana nje ya mahakama. Kobe wanasema alipigwa $ milioni sita !!!
Kesi yake niliifuatilia sana Lakers ni my favor team in NBA
 
Back
Top Bottom