carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Karibu,unatumia kinywaji gani?[emoji12][emoji12]Wapo vizuri, ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa upendo wake
Karibu,unatumia kinywaji gani?[emoji12][emoji12]Wapo vizuri, ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa upendo wake
Hatujui hata kama kazi aliianza. Wakati mwingine mchecheto tu. Umefakamia milonge kwa lengo la kutoa shoo ya kibabe, bado unapanga dhana za mashambulizi kimoyo kinaamua kuzimika.Ajali kazini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My love bhana
CantstopwontStop
Hizi ni habari njema sana! Mungu wetu ni Mwema !!!Wapo vizuri, ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa upendo wake
Nipo salama mkuu. Nafurahi kusikia kwamba hujambo na kwamba hata Tukuyu mambo yanaendelea vyema. Nimefurahi sana !!!SYB u hali gani mkuu?
Kitu gani we Mzee embu otea tuoneNshasema mimi
Nimepewa namba yako nipige lakini nawewe hupokei[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka kuna kitu mtakua mnafanya nyie si bure[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]