Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Punda afe mzigo ufike.....
0fb88ee5d634cf783590d8b5f008aa35.jpg
Duuuuuu!!!! akili za wafugaji wanazijuaga wenyewe.
 
Mnachaji simu???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aisee umeme wenu noma sana yani unachaji hadi simu ikipigwa hamsikii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cole hongera sana kwa kua na umeme wenye nguvu
Volti ngapi vilee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bob hivi wajua saiz ni usiku,yani umenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simu ziko in silence mode[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mke wa andjul ni wangu pia, maana ni rafiki yangu. kama anaweza kuniachia gari lake nitanulie mjini atashindwa vipi kuniachia nsamaka angalau kwa usiku mmoja? wee mchina vipi ? EBO

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]umesemaaaa
andjul kuja usome huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom