mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wadau baadaye
Basi inaelekea wajanja walitumia sana hii kama fursaNi hatari sana shemeji. Yaani mtu inabidi uulize mara mbili mbili. Kesho yake akikugeuka umekwisha. Hata hawa wanamichezo (Kobe etc) ndicho kinachowatokea. Binti anakubali halafu kesho anadai alikuwa kalewa na hakumbuki kama alitoa consent. Basi hapo hakuna ujanja isipokuwa kumalizana nje ya mahakama. Kobe wanasema alipigwa $ milioni sita !!!
Nenda ukamwiteWe nenda ukashikwe ugoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mzee Lukinda,upande wa pili NkwabiKabula dah! Jina halisi la Kisukuma. Mmojawapo wa waanzilishi wa koo kuu za Wasukuma. Wengine Minza na Nkwaya....
Nimeshawatia kwenye notibuku yangu. Mzee wa Tukuyu nitampa uenyekiti kwa sababu inaonekana kabobea sana. Mimi acha nichukue ukatibu unanitosha. Akiritaya naubeba uenyekiti bila kusita !!!Mwenye kiti na katibu wake(mzee wa koromije na bilionea wa tukuyu sasa hapa sijui nani mwenyekiti na nani katibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Kuna andaeitini na baba viv
Wengine hawajajitokeza hadharani bado
Yupi sasa mke au yule mumewe?
Kwani uongo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzeee wewe shindwa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaNimeshawatia kwenye notibuku yangu. Mzee wa Tukuyu nitampa uenyekiti kwa sababu inaonekana kabobea sana. Mimi acha nichukue ukatibu unanitosha. Akiritaya naubeba uenyekiti bila kusita !!!
Ndio uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani uongo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muendee sumbawanga huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wapo kuna watu wamepigana na usingizi hasira za makinia wameamishia huko
Tupo pamoja[emoji120]Kwema kabisa mzee.
Nakuona mzee wa harakat
Subiri ndugu hali mbaya huko kama uligoma kipindi kile kunisalimia kibiti hukuMjomba nilisikia mara ya mwisho kaonekana sudan, sasa ndo najishauri nikamtafute huko huko au nisubir
CantstopwontStop
Famous people na wenye vihela hela inabidi wawe makini sana. Kibaya hata baadaye ikija kubainika kuwa binti alikuwa anadanganya basi wewe maisha yako yameshakuwa ruined na rekodi tayari unayo. Hakuna university au employer atakayekugusa tena...Basi inaelekea wajanja walitumia sana hii kama fursa
Mwenyekiti mkoro...Mwenye kiti na katibu wake(mzee wa koromije na bilionea wa tukuyu sasa hapa sijui nani mwenyekiti na nani katibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Kuna andaeitini na baba viv
Wengine hawajajitokeza hadharani bado
Asante sana mkuuKaribuni sana Koromije ndugu zangu !!!
We si ndo mwenyekitiMwenyekiti mkoro...
Ila usivunje sheria za jf
Had lips zitalewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendaaaa
Unawahesabu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadi sasa wako wanne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]