carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Muulize andjul atakuwa na majibuJamani mmenionea hapa shemeji, jirani na rafiki yangu nimpendae nsamaka, yani yule mke wa kakangu andjul
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize andjul atakuwa na majibuJamani mmenionea hapa shemeji, jirani na rafiki yangu nimpendae nsamaka, yani yule mke wa kakangu andjul
Sent using Jamii Forums mobile app
Live interview lini tena MkuuEe bwana nimekuja kuvinjari[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Kweli. Nilipoteza notibuku yangu. Halafu nilipachikwa cheo cha ushilawadu. Nikaona haina soo nikapotezea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona kitengo hakina mtu sasahivi
Nataka ulewe ili kupunguza maelezo Yale ya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi nitaagiza pepsi au cocacola
HahahahahaHili tangazo limenishtua sana
Kuanzia 1/9/2017 mpaka 1/10/2017 kile kichwa cha pili cha wanaume wote duniani hakitafanya kazi,kwa hiyo unapoona hali hiyo hata usiogope jiandae tu kisaikolojia.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutuma ukaulize kwa niaba yanguMuulize andjul atakuwa na majibu
Acha nishike kijiti cha data kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli. Nilipoteza notibuku yangu. Halafu nilipachikwa cheo cha ushilawadu. Nikaona haina soo nikapotezea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee. Karibu sana mkuu. Siku ukija nitakuchinjia ndama aliyenona. Na ngozi utabeba kabisa uende nayo Tukuyu!!!Koromije kuna nyumba ambayo ndipo alipo zaliwa baba mkwe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa data katika uboraKweli. Nilipoteza notibuku yangu. Halafu nilipachikwa cheo cha ushilawadu. Nikaona haina soo nikapotezea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usharudi wa kuniharibia siku.Haya usiku mwemaJamani mmenionea hapa shemeji, jirani na rafiki yangu nimpendae nsamaka, yani yule mke wa kakangu andjul
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi hayo??Nataka ulewe ili kupunguza maelezo Yale ya...
Na hayo macho manne yote yataleta usela katika kulegea[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Tembo ni wazuri kuwaangalia wakiwa mbugani tu"Aiseeeeh hili lori tani ngapi??
Naona waponda mafuso wapo wengi nipe idadi yao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeeeh hili lori tani ngapi??
Hapa inabidi ujipange. Vinginevyo ndo yale yale ya jamaa kafia kazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba utaniua kabisa
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendaaaaaaa