Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sheria huko zinasemaje? Hapa binti akilewa hata kama amekukubalia kesho yake akisema hakumbuki mvua 10+ zinakuhusu....[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Huku hata angelewa vipi,akili ikimrudi kidogo tu anatafuta nguo yake ya ndani halafu huyooo kwao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe eeh
Ni hatari sana shemeji. Yaani mtu inabidi uulize mara mbili mbili. Kesho yake akikugeuka umekwisha. Hata hawa wanamichezo (Kobe etc) ndicho kinachowatokea. Binti anakubali halafu kesho anadai alikuwa kalewa na hakumbuki kama alitoa consent. Basi hapo hakuna ujanja isipokuwa kumalizana nje ya mahakama. Kobe wanasema alipigwa $ milioni sita !!!
 
Back
Top Bottom