carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendaaaaNa hayo macho manne yote yataleta usela katika kulegea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendaaaaNa hayo macho manne yote yataleta usela katika kulegea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako mkuuUsiku uwe mwema kwetu sote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Tembo ni wazuri kuwaangalia wakiwa mbugani tu"
Kauli yako hii ya jana bado inanichekesha shemeji.
Hilo swali lako naomba lijibiwe na Andjul [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mzee wa kuzungusha hatari sanaCarba nikisema twende sehemu, suala la vinywaji ukaagiza mirinda nyeusi take away!!! Utanirudishia gharama zoootee nilizo kugharamia siku hiyo
Hadi sasa wako wanne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona waponda mafuso wapo wengi nipe idadi yao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sheria huko zinasemaje? Hapa binti akilewa hata kama amekukubalia kesho yake akisema hakumbuki mvua 10+ zinakuhusu....[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Nataka ulewe ili kupunguza maelezo Yale ya...
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Usinifanyie hvyo[emoji22] [emoji22] [emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,disemba tutakuwa huko,mke wangu kwa jina la asili Kabula,anahitajika na shangazi zake.Alipo nipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee. Karibu sana mkuu. Siku ukija nitakuchinjia ndama aliyenona. Na ngozi utabeba kabisa uende nayo Tukuyu!!!
Itakuwa vizuri shemeji...Acha nishike kijiti cha data kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23]
Form 34AHamorapa walimpaka nini usoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa bia ya kupima[emoji23][emoji23][emoji23]noma sanaMzee wa kuzungusha hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe eehSheria huko zinasemaje? Hapa binti akilewa hata kama amekukubalia kesho yake akisema hakumbuki mvua 10+ zinakuhusu....[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mkuu shemeji, jirani na rafiki yangu nsamaka aliniagiza kitu, nimeshaleta nataka nimpatieUsharudi wa kuniharibia siku.Haya usiku mwema
Njema sana mzee wa wanga[emoji23]Mambo niaje double K?
Nahitaji kuwajua pulizi?Hadi sasa wako wanne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku huu??[emoji15][emoji15][emoji15]Mkuu shemeji, jirani na rafiki yangu nsamaka aliniagiza kitu, nimeshaleta nataka nimpatie
Sent using Jamii Forums mobile app
LipiHujajibu swali langu mzee wa ini
Kabula dah! Jina halisi la Kisukuma. Mmojawapo wa waanzilishi wa koo kuu za Wasukuma. Wengine Minza na Nkwaya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,disemba tutakuwa huko,mke wangu kwa jina la asili Kabula,anahitajika na shangazi zake.Alipo nipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NzuriHabari