Nipo jamaniMuulize andjul atakuwa na majibu
Nipo jamaniMuulize andjul atakuwa na majibu
Sio wafugaji tu yaani wabongo hasa ni tatizo sijui kuna hivi vigari wanaita Kirukuu yaani wanabebesha mzigo wa pickup lawama zinaanza wameleta fekiDuuuuuu!!!! akili za wafugaji wanazijuaga wenyewe.
Nakuona ujueNataka ulewe ili kupunguza maelezo Yale ya...
Nimeipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo shemeji yangu mpenzi unipendae kwa dhati.
Loh,jamani hata salamu?Usharudi wa kuniharibia siku.Haya usiku mwema
Fafanua hapo kwenye kuchungulia[emoji16] [emoji16]Nimepita kuwasalimia,tutaonana badae mida ya chai nafikiri. Ntakuja kuwachungulia.
Hana nia njema bora uniachie mm tu ndio namuweza.Yapi hayo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu huna nia njema na mimi,nilewe tena??
Mwanafunzi anamaliza form four barua ya kuomba Kazi hajui kuandikaKuna siku nilisikia sikumbuki ni mkoa gani kuna wanafunzi wa form2 hawajui kusoma wala kuandika nikabaki nastaajabu tu
Mamba wa Ukerewe ni wengi ni mazingira acha kabisaMkuu hivi huko ziwa victoria hali ya mamba ikoje hasa huko ukerewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
iwe nasiamani
Hahaha msalimie kabula,jina la dada yangu mpenzi. Hebu muulize vzr km ana ndg anaitwa nsamaka. Walah usikute ww ni shemeji yangu hahahah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,disemba tutakuwa huko,mke wangu kwa jina la asili Kabula,anahitajika na shangazi zake.Alipo nipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaya nipoMkuu shemeji, jirani na rafiki yangu nsamaka aliniagiza kitu, nimeshaleta nataka nimpatie
Sent using Jamii Forums mobile app