moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Baridi huko?? Njoo Mbeya,inasoma 9°C saa hiziSafi kabisa mkuu andjul
Baridi tu huku
[emoji137][emoji137]
Nilikumisimo eeh[emoji4][emoji4]carbamazepine, embu ninong'oneze kama ulinimisimo! Angalia hao wamwela wasisikie! [emoji3][emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mzee wa liver na Yegomasika wanajua ni wapiKuna siku nilisikia sikumbuki ni mkoa gani kuna wanafunzi wa form2 hawajui kusoma wala kuandika nikabaki nastaajabu tu
Nipo bro nikasema leo ngoja nikomae komae labda utatokea mida na kweli karibu sana Hapa kijijiniCole (my only hope),niaje brother? Missing you a lot
Pole sana maana huyu kijana wa tmk sijui analengo gani na zizi lakoUzee wangu unaniponza,kuna kitu nitakuwa nimepoteza na hawa vijana wanavyo.Kuna haja ya kuufanyia Reform umri wangu,shuani zao... Hakuna mazizi mengine ila kwangu tu!!!