Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatujui hata kama kazi aliianza. Wakati mwingine mchecheto tu. Umefakamia milonge kwa lengo la kutoa shoo ya kibabe, bado unapanga dhana za mashambulizi kimoyo kinaamua kuzimika.

Bila shaka unayajua vizuri mambo haya. Madenti tu hapa walikuwa wanapukutika balaa wakichanganya Redbull na bia moja inaitwa Four Loko (ina caffeine ya kutosha na abv 8%). Mpaka wamewaamru watengenezaji waondoe hiyo caffeine na Redbull ziwekewe warnings hasa kwa watu wenye ishu za mioyo, BP n.k... Imagine mtu umegonga milonge (or whatever makes you dance longer), jibapa na mchecheto juu, halafu kumbe una katatizo ka moyo ambako hukajui, au BP, mbona usisalimu amri? I say shameful death !
Anataka kushindana na Alipotokea Mara ooooh kafia na Tai shingoni

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom