Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hashtag imeundwa na watumiaji wa mtandao ili kujadili matukio maalumu na masula husika kwa wakati muafaka.

Na nji hii husaidia kwa makusudi yaliyopangwa ili watumiaji wengine wa mtandao waweze kutafuta kwa urahisi mada na kushiriki katika mazungumzo bila ya kujali wapi duniani.
 
Katika wakati wa nyuma Hashtag ilikuwa ikitumika kwenye Internet Relay Chat (IRC) katika mfumo wa zamani wa kuchati uliokuwa ukitumiwa na makampuni mbalimbali.

Kwa mujibu wa mwanzilishi wa Twitter Evan illiams anasema yeye na Chris Messina hawakuwahi kufikiria kwamba hashtag itakuja kuwa maarufu kama ilivyo sasa kwa sababu ilikuwa ikitumika na wataalamu wa mfumo wa IRC.
 
Aidha, Jukwaa la vyombo vya habari la kijamii linaashiria kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 10 ya hashtag kwa [HASHTAG]#Hashtag10[/HASHTAG].

Kwa sasa Hashtag inatumika na mitandao kadhaa zaidi ya Twitter na watu wengi wamekuwa wakiifahamu.
 
Hii Houston naona ndani ya miaka hii miwili wanapigwa na vimbunga hatari sana
Huu mji utachukua muda kukaa sawa
Unajua. New Orleans wamejaa weusi. Na inasemekana ndiyo mji unaoongoza kwa uchawi Marekani (Vodoo). Ulipopigwa na Katrina mpaka wahubiri wa kihafidhina walianza kusema ilikuwa ni adhabu ya Mungu. Na wabaguzi wa rangi wakawa wanasema kuwa Mungu Alikuwa ameamua kuisafisha Amerika. Sasa vu bin vu kimbunga kimetua Texas kwa wazungu wahafidhina wa kiRepublican. Sasa nao sijui wanaadhibiwa kwa kosa gani...

Imenyesha mvua futi 50+ kwa siku nne mfululizo. Kimsingi ni gharika. Trump kaahidi mabilioni ya dola kuwasaidia na shughuli za uokozi ni bora siyo kama zile za wale masikini wa New Orleans!
 
701910d0164c25e9db91c95517afe017.jpg
 
Katika utafiti mpya wa simu za Android zaidi ya milioni tatu uliofanywa, watafiti wametaja orodha ya programu zinazokula sana chaja ya Betri kwa kiwango kikubwa na zile zinazochukua nafasi zaidi katika simu.
 
Ripoti hiyo iliyotolewa na Kampuni ya usalama wa kimtandao ya Avast miongoni mwa programu zilizoongoza kwa ulaji wa Betri ni zile za Google wenyewe, kama Google Maps, Google Play Music, Google Plus na Google Hangouts.
 
Back
Top Bottom