mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ujumbe huu umfikie na Bob popote alipoNapenda kutuma salamu kwa Cherie NEISHA, Ujumbe kweli Timu sio Kabila
CantstopwontStop
Ujumbe huu umfikie na Bob popote alipoNapenda kutuma salamu kwa Cherie NEISHA, Ujumbe kweli Timu sio Kabila
CantstopwontStop
Malugu, manyanza, nkBila kuwasahau kina nsamaka,milembe,mwashi n.k
Mumeo ni bingwa, jionee mwenyewe usije sema namsingizia[emoji2] [emoji2]Kumbe una uzoefu eeeh
My love your wishes come true Ulisema watakuja kweli wa nakuja
Sawa baba viv msalimie mwamnie asikataeHaya maneno nitamwambia viv halafu na yeye nimsikilize anasemaje mana huwa nampa nafasi na yeye atoe wazo japo ni mdogo
Umefika tayariUjumbe huu umfikie na Bob popote alipo
[emoji23] [emoji23] ya kikeNikugongee Like ya Kike au ya Kiume?
HahahahahaSawa baba viv msalimie mwamnie asikatae
Napenda ka like ka kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ka like kepi unapenda[emoji23]
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchawi mpe Mtoto wako akulelee
Basi hako mtoto muzureee[emoji23] [emoji23]Napenda ka like ka kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa nitaprove vipi kama ni ya kike au ya kiume?Nikugongee Like ya Kike au ya Kiume?
Ni shughuli pevu sanaHii teknolojia hii kweli imetuweza sana. Familia zingine mpaka dinner table kila mtu yuko kivyake. Wengine wanafakamia mavyakula wawahi mtandaoni. Ni tatizo !!!
Nsamaka popote ulipo, Natembea na zawadi yako kwenye kiusafiri changu, ukiwa tayari nijurishe nikupatieHahahaha wivu huoooo
Hauzwi hata Mara moja
Yea!Time machine