Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti ni baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastiki huko Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka kama 10 iliyopita nilienda kijiji furani mkoani morogoro ambacho kipo kando kando ya mto ruvu, wenyeji walinionyesha baba ambaye alisemekana kwenye koti lake ana mijusi ambayo akiitupa mtoni hugeuka mamba wakubwa na kuanza kushambulia watu ambao amewalenga[emoji2] ni tatizoMamba wa Ukerewe ni wengi ni mazingira acha kabisa
Haya maneno nitamwambia viv halafu na yeye nimsikilize anasemaje mana huwa nampa nafasi na yeye atoe wazo japo ni mdogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwann sasa basi the kik[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]