Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mi nilikuwa najua watu wanakosea kuandika hili neno 'Jamani' kumbe ndo swaga siku hizi linaandikwa 'Jomoni'. Cha kushangaza zaidi ni pale napoona au kusikia hadi midume inatumia hizo swagz
Wapi bakita wamekataza[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…