Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
P838
hivi una umri gani wewe mtu post zako ziko kiduwanzi huna fikra za maana kabisaHabarini wana jf
Sio siri kila mtu anapenda kupata like humu jomoni[emoji23] [emoji23]
Ndio maana Uzi wetu Wa likes unatambaa kweli[emoji23] [emoji23]
Je wewe unavutiwa zaidi Na ka like ka kike au ka kike[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Ni sawa Na kibamia au muhogo Wa jang'ombe[emoji23] [emoji23]Thread chonganishi.
25 years old[emoji23] [emoji23]hivi una umri gani wewe mtu post zako ziko kiduwanzi huna fikra za maana kabisa