Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
P880
We jamaa ukimuona nsamaka mwache apite, acha shobo na mali za watu, EBO?!Kwani ushemela unashida gani jamani
Tatizo man fongo ndo kaharibu kila kitu
Urafiki unaweza kuvunjika hivi hivi, nimetoka naye mbali huyo.Kwani ushemela unashida gani jamani
Tatizo man fongo ndo kaharibu kila kitu
Karibu Mchina. Tupo. Siku yako inaendeleaje?