Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-30-18-53-22.png
 
Mwache mtumishi bana. He never receives salary from his church and his businesses are not intertwinned with church finances.

Mwaka juzi senate waliwachunguza sana yeye na wenzake akina TD Jakes, Cleflo Dollar, Joyce Meyer na wengine watatu hivi. Hawakukuta matatizo yo yote ya kifedha. Uzuri wa hawa jamaa wana biashara zingine legal zinazowaingizia pesa za kutosha. Vitabu vyao tu vinaingiza mamilioni. Mke wa Joel ana kampuni yake ya vipodozi inayofanya vizuri sana. TD Jakes anavuta pesa ndefu kwenye kampuni lake la vitabu na muvi zake.

Ni rahisi sana kuwalaumu na kuwahukumu hawa kwa vile wako visible. Crooks wapo lakini hata hao mimi huwa nasema kuwa watajuana na Mungu wao...
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom