Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q141
Mtanange wa Rombo huo. Nilikuwa namtania Ben Saanane sana kuhusu hii ishu !!!Wachaga bhana,wanaume wa uchagani wanakunywa pombe mpaka wanashindwa kuchaji simu[emoji39] [emoji39] mpaka wanawake wao wana import wanaume kutoka Kenya ili waje kuchaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aibu sana
Chezea mbege weye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kuna raha yake na hasa kama umeme haukatiki katiki[emoji12][emoji12]Kuchaji simu [emoji4] [emoji4] kama nyie jana[emoji12] [emoji12] [emoji12]