Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ndugu yangu si sukari tena saivi ni adui wa warembo aiseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napenda kutuma salamu kwa Kichwa kichafu, wenyewe wanamwita sukari ya warembo.
Ujumbe UKIMWI UPO NA UNAUA
CantstopwontStop
Kwema kabisa kiongozi wanguTulikuulizia sana. Wewe na bilionea wa Tukuyu. Bahati mbaya umefika kumbe keshatoka. Kwema lakini?
Napita mkuu makinikia ya usingizi yananizidi nguvu
Robert Kelly