moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Karibu ila mimi naishia
Kaulize pale Magogoni watakupa jibu. Hapa sisi ni likes tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pokea like kwanza kabla ya mengineyo
Duu jirani upo, asalalee mpaka saa hizi!!!? mke wa mtu bado unaranda na njia tu usiku huu ?Msela Kichwa Kichafu uko wapi leo[emoji46][emoji46]
Au ndo umeniacha kisela[emoji22][emoji22]
Huo ni udambwi dambwi, senzi taipLensi mbinuko[emoji23][emoji23][emoji23]wapi bilionea wa tukuyu
Done. Liked all of them ....Hizi namba Mulangira dah! Nimezifuatilia mpaka nimepata kizunguzungu. Ila zote nitazipa likes bila wasiwasi... Ngoja nijipange !!!
Jomba SHIMBA WA BUYENZE, endelea kutupia tuburudishe machoShemejiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
Siwezi kukuacha hata siku moja mama.Msela Kichwa Kichafu uko wapi leo[emoji46][emoji46]
Au ndo umeniacha kisela[emoji22][emoji22]
Mida yenyewe mkuuDuu jirani upo, asalalee mpaka saa hizi!!!? mke wa mtu bado unaranda na njia tu usiku huu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa kuogopwa mtaani hapaKichwa kichafu alikuwa kama wewe mkuu,
Alichofanyiwa hatari kubwa,
Alifanywa kutembea akinyonga kiuno tu.
Sent using Jamii Forums mobile app