Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4b00c67d3e7945ac83bb7996e6c8f2ae.jpg
 
Ni shida...Kuna rafiki yangu Mkenya alipatwa na mkasa wa kushangaza. Ilibidi ahame state kama unavyosema!

Yaani hawa hakuna cha kusema ooh, nilikuwa nakutania. Halafu kikikukomalia kinaanza kabisa na kutanganza mpaka kwa ndugu zake! Sisi wengine tumezoea mambo ya kisilencer aisee! Mpaka watu waje wastuke we ulishatambaa siku nyingi! [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom