Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I hope yuko OK. KK naye si ajabu ataibuka hapa mida yake ile ili akuwahi kabla nawe hujakimbia. Huwezi amini, yaani huwa nasubiria kabisa hiyo mipapurano yenu. Utani wenu ni wa levo nyingine kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]
KK niliona kivuli chake mitaa flani hivi asubuhi naimani wataonekana wote yeye na mzee wa tukuyu...
[emoji23][emoji23][emoji23]wasipokuwepo mwenyewe namiss kuparurana nao
 
Haitafanya kazi...na depending na atakayeijaribu naye, things can go all the way kwa sababu wenzetu hawa huwa hawana mchezo. Wewe unafikiri utani kumbe mwenzio yuko siriazi....Ngoja tusubiri mrejesho kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaa... Anakuja kikwelikweli halafu anakotolea macho! [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom