Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikuja asubuhi akasema atarudi sijamuona tena,sijui kabanwa na nini leo
I hope yuko OK. KK naye si ajabu ataibuka hapa mida yake ile ili akuwahi kabla nawe hujakimbia. Huwezi amini, yaani huwa nasubiria kabisa hiyo mipapurano yenu. Utani wenu ni wa levo nyingine kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1fa7df7719889233cff78de0e44d38b5.jpg
 
Back
Top Bottom