Hako kajamaa kafupi kanaongea duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanamsingiziaga eti Jike Dume ...
Nimekusubiri wee hadi nikaghaili,ulikuwa wap leo??Naona leo umeniwekea mbinu umenikimbia sijuo nitaota nini leo[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Unazingua bhana[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Siwezi kukuacha hata siku moja mama.
Mitego yote hii mwenyekiti hajatokea daah![emoji19][emoji19]Mwenyekiti wangu uko wapi? Umekwama Tukuyu?
Nilikuwa namwambia alieaga bhana[emoji23][emoji23][emoji23]We dogo umeanza kuwa kuku unalala saivi.
Jirani nilikuwa na baba watoto bhana sema kanikimbia[emoji23][emoji23]Duu jirani upo, asalalee mpaka saa hizi!!!? mke wa mtu bado unaranda na njia tu usiku huu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani nilikuwa na baba watoto bhana sema kanikimbia[emoji23][emoji23]
Habari yako lakin
Acha tu[emoji15][emoji15][emoji15]Leo na wewe umeungana na wanga? [emoji3][emoji3]
Mitego yote hii mwenyekiti hajatokea daah![emoji19][emoji19]