Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha maneno gonga [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Yaaani katika nyuzi za ajabu humu jukwaani ni huu

Sielewi mantiki yake kama ambavyo siwaelewi makapuku forum

Ngoja nikimbie na sitaki likes zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nina hakika huu ndio utakuwa mwanzo wa kuchungulia huu uzi kila dakika. Kula like kwanza
Ning'ate sikio kuhusu hili neno
 
Back
Top Bottom