mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaTunaweza kuliindoa kwa njia nyingi mkuu,
Njia iliyo maalumu kwa watu maalumu kama wewe ni kulizungushia baruti na kulipua.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Morning BobWewe
Moudgulf na
andjul
Sio salama kabisa
Good morning
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkeo anakubana eeh
Kunguru yupi mkuuWanyama wenye akili zaidi duniani
1.NYANGUMI
2.TEMBO
3.BINADAMU
4.NGURUWE
Ndege anaekimbia kuliko wote duniani ni KIPANGA (falcon)
Huku ndege mwenye akili zaidi duniani akiwa ni KUNGURU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee nawe,swali gani hilo?Inamaana umekubali[emoji23] [emoji23] [emoji23]