ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no commentsChezea mbege weye
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Shikamoo mbege na hongera kwa kukata umeme uchagani hadi wanaume wanashindwa kuchaji simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simu wanachaji wanaume wa nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuchaji simu hakuta muacha mtu salama
Sasa kama wanasaidiwa na watu wa Nairobi hakuna shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha wapate kitu roho inapenda mbege[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Itabidi tupeleke milonge moshi sasa mana wachaga watia aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa kufurahia huko wenzio kukosa umeme[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yani ningekua pande za Kilimanjaro aisee ningeitumia fursa vizuri
Kule Bob unatakiwa upige mlonge mwenyewe wa kufa mtuHalafu tutapiga hela ujue
Kale kababu kalibuni biashara nzuriSana tutakuwa kama yule babu wa loliondo[emoji23][emoji23]
HahahahahaNina nia njema sana nsamaka,
Km njia hiyo ni ngumu basi ipo nyingine ya [emoji419] [emoji375]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app