Nakumbuka mwaka 2007 nilienda hospitalini kumtembelea mgonjwa wangu,halafu pembeni yake kuna babu alikua anakaribia kukata roho,dah alitaja ubaya wote aliokua anaufanya pamoja na list ya watu aliowaloga,watoto wake wanamziba mdomo lakini anawakataza mpaka amalize kutajaKifo ndiyo mwanadamu na majivuno yake huumbuliwa
Amin mpendwa, wende salama na urudi salamaMkawe na siku njema wapendwa
Tukutane tena panapomajaaliwa
Though its not easy
Jana ulikesha?
Safi kabisa japo nimechelewa kukujibuHabari za mida hii wakuu
Shimba kweli umekwiva
Hivi ukikutana na hilo dude kwenye chumba cha kuchajia unalianzaje?Mwenyekiti wangu uko wapi? Umekwama Tukuyu?
JORDAN.