Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Hahahahaha
Hahahahaha
Kweli kabisatenda wema,,wema hauozi
HahahahJamani Bob popote ulipo napenda kutambua hali yako maana jana ulikuwa unashambuliwa sana kwa vitisho, mikwara na maneno.
HahahahahaShemejiii umeshusha uumbaji wa Bwana hadi nimetoa miwani ya macho ili niangalie vizuri.Wanaume tuache kiburi,tumeumbiwa faraja za kila aina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani hivi nimeshikilia kichwa changu
Nimewaona...neno "mpenzi" limetamalaki