Haya nenda na like...Asante, baadae naingia kuwajibika
Usiseme hivyo hujui kuna watu tunakaa huku[emoji24] [emoji24]Tutarajie mabaya huko Kibiti
Yeah Ni Wycleff Jean FeatAkon,Lil Wayne wimbo ni Sweetest Girl.Hizi kama lyrics hivi ila sikumbuki vyema
HellowHellow
Hapa nilikuwa na loadYeah Ni Wycleff Jean FeatAkon,Lil Wayne wimbo ni Sweetest Girl.
umefika penyeweNakuja kutoa like na kupata like
Piga kazi maana kupata cha kuingiza kinywaniJamani "Kazi mbaya si mchezo mwema" "Kazi kwanza michezo baadaye" endeleeni kugonga like kwa nyie mliye off
Na iwe hivyo, ni nzuri, wakati unapata like muda huo pia upate news updateTafadhar tuwe tunapeana habari na matukio kama ya ulimwenguni na kupeana elimu kwa maswala mbali mbali pia kuleta hoja na kuzijadili ili kuufanya uzi huu uwe wa kuvutia zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113]Mwaga neno mwaga like kiroho safi