andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hahahaaaa hata mimi nimefanya ujinga huo, hata sikua nasoma comments ila ni ku like tu. Najua watashtuka, sijui watanitukania nini kwenye ubongo wangu. Habari ya asubuhi kwa wote mlio shindwa kwenda kwenye nyuzi zingine kisa tu hazina likesMazoea mabaya nimeenda nyuzi zingine kila nikisoma post najikuta nataka kulike hats zisizo....