Hahahaaaa hata mimi nimefanya ujinga huo, hata sikua nasoma comments ila ni ku like tu. Najua watashtuka, sijui watanitukania nini kwenye ubongo wangu. Habari ya asubuhi kwa wote mlio shindwa kwenda kwenye nyuzi zingine kisa tu hazina likesMazoea mabaya nimeenda nyuzi zingine kila nikisoma post najikuta nataka kulike hats zisizo....
unajua hii speed tulio nayo sio ya mchezo mchezoHapo parefu mkuu. Makapuku si wa mchezo mchezo...
Light and thunder walahiunajua hii speed tulio nayo sio ya mchezo mchezo
uko sahihi. kila mwenye jambo la maana tupia hapaTafadhar tuwe tunapeana habari na matukio kama ya ulimwenguni na kupeana elimu kwa maswala mbali mbali pia kuleta hoja na kuzijadili ili kuufanya uzi huu uwe wa kuvutia zaidi
Kama kawaa Goddess.Mpo?
Hi!Hellow
Hili nalo neno.Tafadhar tuwe tunapeana habari na matukio kama ya ulimwenguni na kupeana elimu kwa maswala mbali mbali pia kuleta hoja na kuzijadili ili kuufanya uzi huu uwe wa kuvutia zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mazoea mabaya nimeenda nyuzi zingine kila nikisoma post najikuta nataka kulike hats zisizo....
sawaWakuu leo nipo free nagawa like kama njugu jitaidin kucomment
[emoji3] [emoji3] mazoea yana tabu.Hahahaaaa hata mimi nimefanya ujinga huo, hata sikua nasoma comments ila ni ku like tu. Najua watashtuka, sijui watanitukania nini kwenye ubongo wangu. Habari ya asubuhi kwa wote mlio shindwa kwenda kwenye nyuzi zingine kisa tu hazina likes
Hili lengo tumedhamiria mda tu ili watu waweze kujifunza kupitia huu uziTafadhar tuwe tunapeana habari na matukio kama ya ulimwenguni na kupeana elimu kwa maswala mbali mbali pia kuleta hoja na kuzijadili ili kuufanya uzi huu uwe wa kuvutia zaidi
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Nmekuja kutoa doz ya like
Acha maneno maneno chukua likeHizo likes zina faida gani?
[emoji818]Pokea kabisa yangu endelea kutoa kwa wengine
Kwema kabisaHuku kwema!