AiseeMaiti yake ilikutwa nje ya kaburi siku ya pili baada ya kuzikwa, siku ya tatu baada ya kuzikwa walikuta sanda imepasuliwa na maiti imetafunwa. simba alikutwa mita chache anaimalizia, waliporudi kijijini kuchukua zana za kumuua hawakumkuta simba wala dalili zake. Wamekuta kichwa na vidole vya marehehemu pamoja sanda aliyoilalua simba. Stori yake unaweza tunga kitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha wa yuu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli wenye kazi yenu mmerudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliona nilipokuwa napitia post za nyumaWeeeee, nimesha pitia.Jana nilisema humu,moudgulf na yeye ni mpenda misambwanda, nimeona alivyokuwa anashangilia kila picha usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo tusilaumiane kabisa
Hahahaha
Chura wa Liwale
Uruka pamojaMkuu nashukuru kwa kwa kuniwakilisha vyema kwenye ushangiliaji wa misambwanda. Ndege wafananao...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nyuki wa mashineShaka ondoa baba, andaeitini hana madhara! [emoji3][emoji3]