myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Dah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliona nilipokuwa napitia post za nyuma
Dah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliona nilipokuwa napitia post za nyuma
Fine thank you sirHa wa yuu mkuu
View attachment 578761keep on praying
Mkuu vipi mzee anaendeleajeSafi shemeji,Bob12 mzima(simaanishi kulianzisha)? Sio mama(alishatangulia zanani) ni baba,namshukuru Mungu kwa kila hatua.Ahsante kwa maombi yenu[emoji120]
HahahahahaUtavunja empaya bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila subiri aje mwenyewe atupe majibu
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natarajia kumpokea mzee wa liver, ila hofu yake ni je,impaya ya Masaki itakuwa salama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] tangu tuoanee,hata mwezi badoo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Maombi yote yanapitia kwa shemu wangu nsamaka
Embu mwache my Queen kwanzaItabidi nimuombe ISIS ajiunge kwenye chama la wana. Wewe,nsamaka,jak,hamna shida....niombee na kwa Numbisa anisapoti kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji817] [emoji817]FAIDA ZA NANASI
1. Chanzo kikubwa cha vitamin A.
2. Kusaidia kumeng’enya chakula.
3. Inarekebisha mapigo ya moyo.
4. Kuimarisha mifupa ya mwili.
5. Ina kiwango kidogo cha kalori.
6. Inasaidia kuzuia mafua na homa.
7. Kuimarisha mfumo wa kinga.
8. Chanzo cha vitamin C.
9. Inapunguza uvimbe.
10. Kupunguza spidi ya kuzeeka kwa seli mwilini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muombe mwenyewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndoa yangu na nsamaka ngumu sana[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]