Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hatari na mimi nimepata hizo tetesi sijui nafanyaje kwa kweli.Poa sana kamanda mjomba nimesikia yupo north korea
Sasa hapo ubahatike kama alivyo bahatika kijana wetu.Najiachia mwili mzima,atambae atakavyoandjul, ukienda kwenye physical exam lazima mikono ya Dr itambae mwili mzima!
Kabisa mkuu
Lile jana lilikuwa linatoa offer tu[emoji23] [emoji23]Kwa like lori la jana[emoji13][emoji13][emoji13]
WhatHahahahaha
kausha braza
Nimeona, hiyo sehemu tatizo sikuelewi wewe mialiko mingi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tulia kamanda huyu wife wako kuna kitu kajichanganya bila kujua kua humu kuna genius people
Hahahha hakuna kukausha mzee Mimi ni goddessHahahahaha
kausha braza
Na kombora ndio limemkosa kosa leoHatari na mimi nimepata hizo tetesi sijui nafanyaje kwa kweli.
Mjomba huyu ataniua
CantstopwontStop
Anisamehe bure Tu Maana yaani kwako sielewi wala siambiwi chochoteNduguyo ananipiga vita ujue[emoji23][emoji23]
We nendaaaaaa hukoView attachment 579264wanaolala usiku mwema,wale wa mida ya wanga tutaonana baadae
Aisee akipotea mazima sijui nitafanyejeNa kombora ndio limemkosa kosa leo