ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Ninayo season yote!
Sijaanza juzi angalia
I love this show walahi
Ninayo season yote!
Kwani keshapatikana?Mama Viv (mpya)?
HahahahaNaona shimba amehack sytem hadi nimesahau
nikikumbuka nitakwambia
Ukiachana tu na silaha nilizonazo kwenye ghala langu nina mbinu nyingi sana za kushinda vita,so usijal kabisaHahahaha kumbe ashapatikana? Ndio nani huyo alishinda usaili
BadoKwani keshapatikana?
Njema
Uwe unapost ile picha mara kwa mara mana dah,acha tuHahahaha
Bado nafanya usahiliHahahaha kumbe ashapatikana? Ndio nani huyo alishinda usaili
YeuwiiUwe unapost ile picha mara kwa mara mana dah,acha tu
WAZAZI WAZAZI WETU EH
VIJANA TULIORUDI TUMERUDI KISHUJAA
VIJANA WALIOKUFA WAMEKUFA KISHIJAA
NIA NA MADHUMUNI YETU
NI KUILINDA NCHI YETU EHH
wimbo huo wa wanajeshi waliporudi Uganda kumnyofoa nduli!
HAKI YA MOLA WANGU WALAHI
WAZAZI WAZAZI WETU EH
VIJANA TULIORUDI TUMERUDI KISHUJAA
VIJANA WALIOKUFA WAMEKUFA KISHIJAA
NIA NA MADHUMUNI YETU
NI KUILINDA NCHI YETU EHH
wimbo huo wa wanajeshi waliporudi Uganda kumnyofoa nduli!
HAKI YA MOLA WANGU WALAHI
WAZAZI WAZAZI WETU EH
VIJANA TULIORUDI TUMERUDI KISHUJAA
VIJANA WALIOKUFA WAMEKUFA KISHIJAA
NIA NA MADHUMUNI YETU
NI KUILINDA NCHI YETU EHH
wimbo huo wa wanajeshi waliporudi Uganda kumnyofoa nduli!
HAKI YA MOLA WANGU WALAHI