Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha Bob ni tatizo
Amerithi mikoba ya Kichwa Kichafu. Kichwa angalau alikuwa wazi. Ukimuona unajua ni mbwai mbwai tu. Huyu yeye ni smooth talker. Anaanza na mambo ya wokovu. Halafu anaingiza u singo faza (eti Baba Viv). Basi mabinti hoiii. Nilikuwa sijui kuwa masingo faza wana maketi namna hii. Lakini yote yana mwishooo !!!
 
Back
Top Bottom