We mharibifu sana. Sitakusamehe. Mpaka leo mahusiano yangu na wangu la Aziz hayapo sawa kabisa. Sijui umemfanya nini. Don't worry. Karma will get you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahah
hii vita ilianza mdogo mdogo kama wiki 2 nyuma,naona kila siku inakua kubwa
wanasema baba viv navamia mazizi ya watu
mhhh!Aaah Bob jamani usinifanyie hivyo manake mm ndio nakutetea sana humu. Wengine wote wanakushambulia.
hahahahahahWe mharibifu sana. Sitakusamehe. Mpaka leo mahusiano yangu na wangu la Aziz hayapo sawa kabisa. Sijui umemfanya nini. Don't worry. Karma will get you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha Bob ni tatizoWe mharibifu sana. Sitakusamehe. Mpaka leo mahusiano yangu na wangu la Aziz hayapo sawa kabisa. Sijui umemfanya nini. Don't worry. Karma will get you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uza mwaya tukajirushe nikusaidie kupunguza haya mawazo ya mikwaramhhh!
nataka niuze mount kilimanjaro ujue