Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q496
Ndiyo maana mara nyingi huwa anaishia tu kuandika misemo ya Kiingereza. Kwema bageshi?Yaan yule ana moyo wa chuma aisee
Kazi kweli kweliBreaking:Madakatari kote nchini Kongo wameendeleza mgomo wao ambapo hivi sasa hakuna hata huduma ya dharura. Wauguzi pekee ndio wameonekana kwenye hospitali za umma ambazo hazipokei tena wagonjwa wapya. Hali hiyo imeasababisha vifo vya zaidi ya watu sita kwenye moja wapo ya hospitali mjini Kinshasa. Madakatari wameomba nyongeza za mishahara kufuatia kuporomoka kwa thamani ya faranga za Kongo ukilinganisha na dola za kimarekani.
Indeed brotherWaraibu wa likes. Alhamisi hii inaendeleaje? Tumshukuru Mungu !!!
Aaah Bob jamani usinifanyie hivyo manake mm ndio nakutetea sana humu. Wengine wote wanakushambulia.jamani nsamaka
nilikua nataka nikupe ofa lakini naona kama naahirisha vile
Hahahaha kumbe ndio sababu eeeh uhhhh hahahaha.Ndiyo maana mara nyingi huwa anaishia tu kuandika misemo ya Kiingereza. Kwema bageshi?
Inaendelea vizuri. Milele Ashukuriwe!Waraibu wa likes. Alhamisi hii inaendeleaje? Tumshukuru Mungu !!!