Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wakwende huko, wao mbona wanavamia mazizi ya wenzao. Km Cole yaan huyu ndio balaa, zizi lake linavamiwa kila siku.hahahahah
hii vita ilianza mdogo mdogo kama wiki 2 nyuma,naona kila siku inakua kubwa
wanasema baba viv navamia mazizi ya watu
You are awesome![]()
Endelea kujifariji eti ooh, Pesa sio kitu, Mara ooh tutakufa tutaziacha.
Si ndio unastaafu kbs unapunguza na gharama za kuhonga. Unabaki kumlea viv tu.Sasa nikiwa nalo nitafaidi vipi hao vyura???????
Hahahaha mzee wa busha, yaan nacheka huko mpk nalia.nambie mzee wa liver
HahahahahaWakwende huko, wao mbona wanavamia mazizi ya wenzao. Km Cole yaan huyu ndio balaa, zizi lake linavamiwa kila siku.
Indeedgood