Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekuelewa mkuu haya mambo yanahitaji busara ya hali ya juu sana,wengi wanaoumia si walengwa...Mungu atusaidie kwakweli
Amina.Utafanikiwa ikiwa tu utakuwa karibu na wahitaji.Siupendi utajiri kwa sababu sipo tayari kuona mtu anateseka wakati mimi ninacho cha kumsaidia.Wife aliniuliza viatu utanunua lini maana ni miaka mitatu imepita haujanunua? Nilimjibu "ili anione nani?"
 
Tueleze ilivyokua mkuu
Kisa kingine kilimuhusisha baba mwingine ambaye anasemekana alijifunza uchawi kwa nia ya kum-gurd wife wake toka kwa wagoni wake, hatimaye naye inadaiwa akawa mchawi wa kutisha na hatimaye maiti yake ilitafunwa na simba. Ni simulizi za kweli ambazo zimenifanya nipige kambi eneo husika nikihoji watu kadhaa kuhusiana na matukio hayo. MUDA UKIFIKA NITAWAELEZA ikiwa walio wengi watapendezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120]Mungu atusimamie kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…